Shida ni nini? Shida ni kuona kadem kasupa kakikam, wewe na maswagg zako unajifanya gentleman ukabongeshe, before ubonge kanakushow 'Excuse mi, funga zip ya traoo yako. ' Shida ni kuinvite dem kwako kejani alafu tym amekam mkimanga fud apo, ile panya iko na ndevu kama za Harun Mwau inapita mbio..Shida ni kuenda choo ukiwa umekazwa, unaachilia mara moja alafu bahati mbaya unafanya geometry vibaya, unaeka juu, kuharibu sana crush wako wa ploti ana knock na badala aende nugu yeye anangoja apo. Shida ni Man-U kucheka Loss moja ya Arsenali na wamesahau siku izi wamekuwa rape victims wa EPL.*Shida ni dem kuexpect ataslap mwanaume kama vile aliona Marimar akislap Alehandro ao vle kdero ali slp shbsh aexpect to get away with it...mi nakuokota kibare ingine unaamkia KNH ukiongezwa maji ya chumvi na damu. WELCOME TO MY WEBSITE GUYS, U R WELCOMED ALL ... Kwani iko nini?

Tags

  1. 10
  2. 3
  3. 4

News

welcome

16/10/2013 17:20
He started texting you differently, didn't he? It went from 'good morning, beautiful' to...

mp3 music...

16/10/2013 17:19
and videos..lol